Katika kurasa za Magazeti ya leo stori kubwa ni pamoja na hali ya mambo Magumu inayopitia Chadema, Mwenyekiti Lissu yupo Mahakamani, ruzuku imestishwa, siasa stopi kimekuwa chama cha Mahakamani kutokana na kesi ya Lissu.
Dk. Nchimbi ang'atuka aacha vilio, vicheko kwenye korido ya CCM, Samia kushitua katibu Mkuu asiyetarajiwa, Samia kumaliza kelele za Ubunge.
0 Maoni