Kwanza
nianze kuwaeleza Doctor mwaka ni nani? Huyu ni Daktari bingwa wa uzazi kwa
wanawake na wanaume anapatikana kwenye Cliniki yake maeneo ya Ilala Bungoni
mtaalamu huyu ni raia wa Tanzania ambaye anafanya kazi kubwa ya kuwasaidia
watanzania wenzake kwenye matatizo makubwa katika sekta ya afya hususani katika tatizo
hili sugu la uzazi.
Ninapomaanisha
ni tatizo sugu kwani ni matatizo ambayo yamesababisha ndoa nyingi kusambaratika
katika jamii yetu ya kitanzania. Chanzo chetu cha habari kimefanya utafiti kwa
watu mbalimbali waliopata tiba katika kliniki ya Doctor Mwaka, walipona na
kuondokana na matatizo yao ya uzazi hata mimi mwandishi wa makala hii ni mmoja wa
walionufaika na kliniki hii.
Nije
kwenye mada yangu Doctor Mwaka ametufundisha kidogo tunachopata tunapswa
kukirudisha katika jamii mfano ni mashindano ya “Ndondo Doctor Mwaka cup”
Haya
mashindano yamesaidia vijana wengi wa Jiji la Dar Es Salaam ambao wengi wao hawana
ajira kutokana na tatizo sugu la ajira kwa vijana linaloikumba nchi yetu kwa
kulitambua hilo Doctor Mwaka amewakutanisha vijana wengi na wadau wa mpira wa
miguu ambao wengi wameona vipaji vyao
kupitia mashindano hayo.
Kwa
utafiti tuliowafanya na timu yetu ya uchunguzi vijana wengi kupitia mashindano
haya wamejiunga na ligi daraja la kwanza, ligi kuu ya Vodacom pamoja na ligi daraja la
pili inayotegewa kuanza hivi karibuni kutokana na mchango huu inaonyesha ni
jinsi gani Dr. Mwaka amelisaidia Taifa lake kutatua tatizo la ajira.
Faida
nyingie ya mashindano haya yamesaidia vijana kukutana na wadau mbalimbali ukiwa
na (network) katika maisha ni kitu muhimu sana na kwa kipengele hichi Doctor
Mwaka ameweza kuwakutanisha vijana wa Wilaya zote za Dar es Salaam na wadau wa
sekta mbalimbali za kijamii katika Taifa hili.
Faida
nyingine ya mashindano haya Doctor Mwaka amechangia katika maendeleo ya soka letu,
kwani msingi wa kweli katika mpira wa miguu ni kuanzia chini kwa hili Doctor
mwaka anastahili pongezi za dhati lakini inaonyesha jinsi gani Viongozi wa soka wa nchi hii wameshindwa
hata kumpongeza hata kwa kumshukuru hapa ninamaanisha Viongozi wa juu wa
shirikisho la mpira wa miguu.
Kuna
faida nyingi ambazo vijana wa Jiji la Dar es Salaam wamefaidika ambazo siwezi
kuzimaliza ila ameifundisha jamii ya kitanzania ambao wanauwezo mkubwa wa
kifedha waweze kuisaidia jamii ya kitanzania kama alivyofanya ndugu yetu Doctor
Mwaka.
Mwisho
ninawaasa watanzania wenzangu wenye matatizo ya uzazi inapotokea kuna matatizo
katika uzazi yapaswa mfahamu matatizo haya sio kwa wanawake pekee wote wawili
mke na mume mnapaswa kulifuatilia hili tatizo kwa pamoja na nanawashuri
muwasiliane na kliniki ya Doctor Mwaka iliyopo maeno ya Ilala Bungeni.
Namba ya mwandishi wa Makala: 0715 919 292
Email Address: niccomediatz@gmail.com
0 Maoni