![]() |
Poppe akimkabidhi jezi Daniel Akuffo |
Na John Marandu Niccomediatz
![]() |
Hans poppe Mwenyekit wa usajil Simba Fc |
Katika
uchunguzi wetu tumebaini mshambuliaji wa zamani wa klabu hiyo Musa Hassan Mgosi anaweza kurejea
katika klabu yake pamoja na beki
tegemezi kutoka mtibwa Hassan Mbande, pia klabu ya simba
inauwezekano mkubwa wa Kuacha baadhi ya nyota wake wa kigeni ili iweze kusajili wengine wa kimataifa anasema Poppe.
Poppe ambaye pia ni wmekezaji mkubwa nchin anahapa kuwa atahakikisha Simba ya msimu ujao hakuna wa kuzuia kutokana na uzoefu alionao katika
kusajili, amewaomba wanasimba wakae mkao wa kushangilia timu yao kwa kuwa wao kama
viongozi wamejipanga kuiendeleza Simba
ipate mafanikio makubwa.
Hans Poppe amekuwa kipenzi wa Simba SC toka mwaka 1970 na aliendelea kuipenda zaidi na kujiita yeye ni dam dam na Simba SC baada ya mtanange hatari kati ya mtani wao wa jani Yanga Juni, 23 ,1973 ambapo Simba ilitoka kifua mbele kwa bao 1-0 kwa mkwaju uliopigwa na Haidar Abeid katika Dk.68.
0 Maoni