AMKA NA KURASA ZA MAGAZETI PENDWA NCHINI KUPITIA TOVUTI YA DAIMA NEWS, HABARI MAKINI KWA WATU MAKINI

Habari kubwa katika kurasa za Magazeti ya leo ni pamoja na siri ya Safari ya baraza la Mawaziri wa Samia, Mawaziri sita katika sura tofauti panga pangua mara kumi na tano wapya na waliotenguliwa, lilianzia Magogoni likaishia Chamwino.

Mawakala mtegoni kwa Rushwa uchaguzi Mkuu, ipo habari ya fani nne kimbilio la wanafunzi chuo kikuu, Prof. Lipumba alinyoosha mikono katika mbio za kuisaka Ikulu, ni hoja juu ya hoja kesi ya Lissu ikitua Mahakama Kuu.










0 Maoni