Katika kurasa za leo za Magazeti, stori kubwa ni katika Gazeti la Nipashe ni kuhusu chanjo ya VVU kuruhusiwa kutumika, yaidhinishwa rasmi na WHO, kwa Nchi 18, ikiwepo Tanzania gharama za wahitaji zatajwa, Mtaalam atoa taadhari.
Kuna stori inayohusu kambi 72, za mashamba ya wazalisha bangi vyasambaratishwa, wanaume waongoza kumiliki laini za simu, mikoa mitatu yatikisa.
0 Maoni