Stori kubwa katika kurasa za Magazeti ya leo ni hatua kwa hatua uchaguzi viti Maalum, watiania mikononi mwa Wajumbe, makada wawaka wagombea wao kuenguliwa, Dar, mwanza waandamana, Mpina, Mabula na Makamba watianeno kuenguliwa.
Udanganyifu ujazaji fomu za afya shuleni, ofisini tishio, Lissu acharuka tena kesi kucheleweshwa, polisi dar kizimbani kwa kesi ya kugushi ipo stori ya ndito ya Samia kutimia.
0 Maoni