PEACEFUL HOTEL YASIFIKA KWA UTOAJI WA HUDUMA ZA KISASA


Uongozi wa Hotel ya Peaceful  Hotel inayopatikana maeneo ya Ndembezi, Mkoani Shinyanga, karibu na Soko la Milunda, unakukaribisha Mkazi na Wageni wote wanaoingia Mkoani humo, kwa huduma salama ya kulala au malazi inapatikana kwa bei nafuu.

Pia huduma mbalimbali zinapatikana ambazo ni za viwango vya juu kuliko hotel nyingine katika Mkoa wa Shinyanga, baadhi ya huduma hizo ni Vyumba vya kulala vya kisasa, Mgahawa, Vinywaji vya kila aina pia vinapatikana na huduma ya internet bure.

Pia kuna huduma za mawasiliano bure kwa mteja, huduma ya shower mixer, TV, AC pamoja na ulinzi wakutosha kwa mteja wetu anahakikishiwa usalama wa kutosha kwa mda wote atakapo kaa hotelini.

Kwa huduma zaidi unaweza kuwapigia kwa namba ya Simu, 0756730303 au 0699389570 karibu PEACEFUL HOTEL kwa uhakika wa mapumziko yako, kuondoa uchozi wa safari na ulinzi wa kutosha ni PEACEFUL  HOTEL 

@toffee_up_town

@peaceful_k_hotel_shinyanga

@best_public_influencer_shy

1 Maoni