Kampuni ya kutengeneza khanga Tanzania  NIDA TEXTILE MILLS (Ltd) yapata Tuzo ya Jumla ya Ubora wa Bidhaa zao katika Maonyesha ya Saba saba

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabibidhi Tuzo ,Meneja Mkuu wa kampuni ya NIDA TEXTILE MILLS TANZANIA LTD.Bw Elihuruma Mabelya baada ya kuibuka washindi wa jumla pamoja na utengezezaji Bora wa khanga Tanzania katika Maonyesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa  Viwanja vya Mwalimu Nyerere. 

 Mkurugezi Mkuu wa NIDA TEXTILE MILLS LTD Bw.Muhammad Hamza kulia akiwa na Mkurugezi mtendaji Bw.Hasnain 

Pardesi  




Meneja mkuu wa  NIDA TEXTILE MILLS LTD Bw.Imran Lohya akihojiwa na waandishi wa habari kuhusu bidhaa wanazo zalisha na ubora 

wake(kulia kwake)Mkurugezi wa kampuni hiyo Bw.Hasnain Pardesi.




Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaamu wakiangalia mavazi 

yaliyotengenezw ka Khanga 









Mrembo  Bula Mkiya akiochesa Baadhi ya mavazi  

yanayotengenezwa na Kampuni ya NIDA kwa kutumia khanga

1 Maoni

  1. I'd like to find out more? I'd ωant tο
    finԁ out some aԁditіοnal information.



    my blοg poѕt: renovation parquet

    JibuFuta