Waziri Wa Nchi, Offisi Ya Makamu Wa Raisi Muungano Mhe. Samia Suluhu akizungumza na waandishi wa habari jijini dar es salaam.
Waziri wa nchi Offisi ya makamu wa Raisi , Mhe.Samia Suluhu akiongea na waandishi wa habari wakati wa siku ya mahazimisho ya siku ya wanawake ulimwenguni katika ukumbi wa Karimjee hall jijini Dar es salaam.(Picha na philemon solomon)
0 Maoni