SERENGETI WAPEWA TUZO TENA.
Meneja wa masoko wa kampuni ya Serengeti Breweries Limited Caroline Ndungu wa pili kutoka kushoto ni Mkurugenzi mtendaji Richard Wells wakizungumza na waandishi wa Habari katika Hoteli ya Movenpick ,akielezea jinsi watakavyoisharekea tuzo yao ya tatu ya ubora wa bia ya Premium serengeti lager. Ndungu alisema msimu wa raha kamili na Serengeti , utaendelea katika baa mbalimbali na zawadi zitatolewa ikiwa ni sehemu ya kusherekea tuzo na wateja wao. Naye Bw. Wells alisema anajisikia furaha sana kupata tozo hiyo na si kuwa hushindi huo na hushindi huo ni wa Tanzania. Tuzo hiyo hutolewa na kampuni ya Monde yenye masikani yake nchini Ujerumani.Picha.(Philimoni Solomoni)
0 Maoni