Kampuni ya Serengeti Breweries Ltd ikishirikiana na kampuni kubwa ya biashara ya vinywaji duniani Diageo leo imetangaza majaji wanne kwa ajili ya tuzo za Diageo Africa buseness report awards itayo tangazwa rasmi tarehe 30 jun 2011. tuzo hizo za mwaka zilizinduliwa mwaka 2004 , kwa ajili ya kuwapa hamasa waandishi wa habari kuripoti habari za kiuchmi barani afrika pamoja na biashara. akizungumza na waandishi wa habari Teddy hallo Mapunda Meneja mkuu wa Mawasiliano alisema mwaka huu tunashuhudia kurejea kwa majaji kazaa kutoka vyombo vya habari sekta ya biashara serekari na sekta za maendeleo na mwka huu zita muhusisha Bw .Shantayanan Devarajan ni mchumi mkuu wa Benki ya Dunia ambaye ni mchumi kitengo cha afrika na anashughulika na "Afrika inaweza " blogg inayosomwa sana ikijihusisha na habari moto moto zinazo jihusu habari zinazo husu maendeleo ya kijamii na uchumi barani Afrika. Mwingine ni Zainabu Badawi ambaye ni mtangazaji mahiri wa habari za kimataifa na msomaji wa habari za BBC na word news today na pia mmoja wa BBC word service trust ,Broness Shriti Vadera ni waziri wa serekali atika maendeleo ya biashara alikua pia waziri wa maendeleo ya kimataifa na mjumbe katika baraza la ushauri wa maswala ya uchumi pamoja na kuwa mshauri maalum wa waziri mkuu wa zamani wa uingereza ambaye anaitwa gordorn Brown ,Dec 2010 aliteuliwa kuwa mjumbe wa BHP Billinton na Astra Zeneca kama mkurugenzi. wengine ni Stephen king ambaye ni mtaalam wa uwekezaji The Omidyar foundation .kabla ya hapo alikua ni mkurugenzi wa BBC na alifanya kazi kwa zaidi ya miaka 15 katika shirika la maendeleo ya kimataifa katika nchi za Asia,Afrika na Amerika ya kaskazini.Aliongeza wengine kuwa ni Dr.Alhaji Bamanga Tukur ,Louis Michael na Prof :Wiseman nkuhlu ambaye ni mkuu wa new partiner ship for africa development (NEPAD).
0 Maoni