Miss Tourism tanzania 2011 namba moja Adeliphin Njozi.
Dar PostMachi 07, 20110
Maoni
Miss Tourim 2011 Adeliphin Njozi akiwa katika pozi baada ya kuchukua taji hilo ,pia amepewa mkataba wa Shs/= milion 150 pamoja na kusomeshwa elimu ya Diploma katika chuo cha Dar es salaam City College.
0 Maoni