MANDAMANO YA WAFUASI WA CHADEMA WAKIPINGA KUPANDA DOWANS.
Maelfu ya wakazi wa jiji la Mwanza leo asubuhi walijumuika na viongozi wa kitaifa wa CHADEMA jijini humo katika maandamano makubwa ya kupinga kupanda kwa gharama za maisha na upatikanaji wa nishati ya umeme.

0 Maoni